Psalms 18:40-42

40 aUliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,
nami nikawaangamiza adui zangu.
41 bWalipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;
walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu.
42 cNiliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo;
niliwamwaga nje kama tope barabarani.
Copyright information for SwhNEN